Shabu
ni aina ya madini ambayo yanachimbwa ardhini, yana rangi nyeupe kama chumvi au
chokaa, shabu ilianza kugundulika huko ufilipino kama tiba mbadala pia wengi
walikua wakitumia kama madawa ya kulevya pia ikawa inatumika kama dawa ya
kusafishia maji machafu ambapo ukiiwekwa ndani ya maji machafu kwa rangi au
yenye matope baada ya muda mfupi yanabadilika na kua meupe au masafi, utaalamu
huo ukafika mpaka Afrika, Kwa Tanzania Shabu inatumika sana kanda ya ziwa na maeneo
ya Pwani yaani kando kando ya bahari, matumizi ya Shabu yakazidi kuongezeka kwa
maeneo ya pwani ikagundulika pia kua inaweza kua inarudisha bikra kwa wasichana
waliopipoteza kwa mazingira yasiyo rasmi mfano kubakwa wakati wakiwa katika
harakati za kufunga ndoa hivyo walitumia Shabu ili kuirudisha ili isijulikane
kwa mumewe kwamba alishawai kutembea na mtu mwingine kabla yake maana kwa
tamaduni za kiafrika heshima ya mwanamke ni Bikra. Hivyo hivyo tenna Matumizi
ya shabu yakaendelea kukua ambapo kwa sasa inaweza ikatumika kama dawa ya
kutibu vipele vya ndevu ili limekua tatizo kubwa hasa kwa wanaume wengi kupata
vipele wakati wa kunyoa, vipele hivyo huwatokea pindi wamalizapo kunyoa na kwa
wengine huwa vikubwa kama majipu na pia hukifanya kidevu kuwa cheusi mpaka
kwenye mashavu, pia hufanya eneo lililoadhirika kuwa ligumu sana, kwa matatizo
yote hayo shabu inayouwezo wa kuondoa vipele sugu vilivyopo eneo la kidevu au
vinavyotokea baada ya kunyoa hivyo shabu inayo uwezo wa kutumika pia kama After
shave, pale muhusika anapomaliza kunyoa anawza kupaka Shabu badala ya After
Shave na ikamsaidia kuondoa kabisa uwezokano wa vipele kuota na kuondoa ambavyo
vilikua vimeshaota kidevuni na maeneo ya mashavu.
Naandiaka
haya kwa vitu ambavyo nina uhakika navyo kwa asilimia mia moja, hii ni dawa ya
asili kabisa kwa matuimizi ya hayo mambo niliyoyataja.
Shabu
hufanya ngozi yako kua laini nay a kuvutia pia kwa wale watu wenye chunusi sugu
wanaweza kutumia shabu na kuisha kabisa maana shabu huondoa vipele na chunusi
na pia rangi nyeusi pia huifanya ngozi yako kua laini na ya kuvutia.
KWA
WALE AMBAO WATAKOSA SHABU KWA MAENEO YAO WANAWEZA KUNIONA KWA KUWASAIDIA
PHONE:
0756449533
:0652478494
Email:
mushifrate@gmail.com
Facebook:
Frate Mushi
No comments:
Post a Comment